Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Pole Pole amesema kuwa anapinga masuala ya utekeaji na kuwa dada yake ametekwa na kuumizwa. Alizungumzia pia kutoridhishwa na mwenendo wa mambo ...
Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia Katibu Mkuu wake, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo imeeleza kwamba imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses Kusiluka ...
Watetezi wa haki za binadamu wamezitaka mamlaka za nchini Tanzania kuhakikisha kuwa mwanasiasa Humphrey Polepole anapatikana haraka tena akiwa hai huku sakata la kutekwa ama kupotea kwake likichukua ...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole amekosoa vikali jinsi chama tawala cha Mapinduzi, CCM, kilivyokiuka utaratibu kwa kumpitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results