"Amuachie mwanangu (Humphrey Polepole). Kama yupo hai, kama hayupo hai waniletee nizike mwenyewe wasiende kumtupa baharini," amesema Anna Mary, ambaye ni mama mzazi wa Humphrey Polepole. Akizungumza ...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limeanza kuchunguza taarifa za kutekwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na mwanasiasa Humphrey Polepole. Saa chache baada ya kusambaa kwa taarifa za kutekwa kwa ...
Mahakama Kuu ya Tanzania, imetupilia mbali pingamizi la kutaka kuhojiwa mahakamani wawakilishi wa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Wawakilishi hao wa Polepole ni wakili ...
Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia Katibu Mkuu wake, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo imeeleza kwamba imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses Kusiluka ...
Jeshi la polisi nchini Tanzania katika taarifa limesema limeanzisha uchunguzi kufuatia ripoti kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa wanafamilia wa Humphrey Polepole- aliyekuwa balozi wa taifa hilo la ...