Shirika la Waandishi wa HabariWasio na Mipaka (RSF) limechapisha ripoti siku ya Alhamisi, Machi 26, kuhusu hali ya uandishi wa habari katika eneo la Maziwa Makuu.
Kadri uwezekano wa mageuzi ya katiba unavyojitokeza mara kwa mara katika mjadala nchini DRC, Baraza Kuu la Maaskofu nchini DRC (CENCO) linarudia onyo lake kuhusu mada hiyo. "Kuelekea upande huo, katik ...
KATIKA kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi zinazoendelea kuathiri maisha na uchumi, wananchi wametakiwa ...
Kituo cha Utabiri na Matumizi ya Taarifa za Hali ya Hewa cha IGAD (ICPAC), kwa kushirikiana na Huduma za Kitaifa za Utabiri wa Hali ya Hewa na Maji (NMHSs) kutoka nchi wanachama, Shirika la Hali ya ...
China imesema hali ya uchumi duniani itakuwa mbaya ikiwa vita dhidi ya Iran vitaendelea na hatari kubwa zaidi ya kuvuruga ...
DAR ES SALAAM: Serikali imeeleza kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta nchini bado ni shwari, huku bei zikiwa himilivu, ambapo mafuta yaliyopo yanatosheleza kwa kipindi cha miezi miwili hadi mitatu. Hayo ...
UTABIRI wa hali kuhusu kipa wa Yanga, Djigui Diarra, unaonyesha kwamba atafungiwa mechi kadhaa na Kamati ya Saa 72 kwa kosa ...
Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Japani inasema miti maarufu ya mcheri aina ya Somei-yoshino jijini Tokyo sasa imechanua kikamilifu, huku anga la jua na hali ya joto ikitawala katika sehemu kubwa ya nchi.
Katika siku ya baridi kali ya majira ya baridi, tarehe 25 Januari 1995, dunia ilikabiliwa na tukio lililokaribia kuigeuza historia ya mwanadamu. Kwa zaidi ya saa moja, hofu ya vita vya nyuklia ...
Programu ya habari ya Afrika Upya inapeana habari mpya na uchambuzi wa changamoto kuu za kiuchumi na maendeleo zinazoikabili Afrika leo. Inachunguza maswala mengi yanayowakabili watu wa Afrika, ...
Hata hivyo, hali ya ukame kuliko kawaida inatarajiwa katika maeneo ya pwani ya Kenya, hali inayohitaji tahadhari ya mapema kwa jamii na wadau wa sekta nyeti kama kilimo na maji. Mkaaji wa Kaunti ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results